FINALY, P-SQUARE WAFUNGUKA KUHUSU RUMORS ZA KUVUNJIKA KWAO | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, April 25, 2014

FINALY, P-SQUARE WAFUNGUKA KUHUSU RUMORS ZA KUVUNJIKA KWAO

Baada ya rumors kuzagaa kwenye media mbali mbali. ikiwemo Blogs na social media 
mbalimbali kuwa kundi la P-square halipo tena kwa madai kuwa limevunjika, 
finally ukweli upo mezani, kumbe rumors hizo zilisababishwa na tweet tu ya 
kaka yao mkubwa ambaye ndio anasimamia shughuli zote za muziki akiwa kama 
meneja wao, kwa tweet iliyoandikwa:


“After over 10 years of hard work, it’s over. Am done.”
Ila ukweli ni kwamba, hata wao wenyewe hawajawahi hata kusikia mtu akisema kuwa 
wametengana, “I am too busy to give some wanna be blogger traffic, I don’t know 
where that report is coming from. Maybe they just want to get traffic to their site. 
It’s baseless and untrue.” alifunguka msemaji wa kundi hilo ajulikanaye kama Bayo 
Adetu.Inasemekana kuwa tweet hiyo iliyosababisha uvumi huo, ni kutokana tu na 
kwa kaka yao huyo,Jude Okoye ambaye damu haziivi kabisa na mke wa Peter Okoye 
aiywaye Lola Omotayo, na wala haikuhusiana na kundi lao la Psquare

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers