HII NDIYO LEVEL ALIYOFIKIA DIAMOND KWA SASA.. VIDEO KUFANYIKA NCHINI UINGEREZA. NI NOMAAAAAA TAZAMA HAPA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, April 1, 2014

HII NDIYO LEVEL ALIYOFIKIA DIAMOND KWA SASA.. VIDEO KUFANYIKA NCHINI UINGEREZA. NI NOMAAAAAA TAZAMA HAPA

Juzi kuamkia Jana katika studio za Iyanya zilizopo nyumbani kwake Lagos,  Diamond alifanikiwa kumalizia single yake aliyomshirikisha Iyanya. katika video hii fupi, inamuonyesha diamond akiwa ndani ya studio hizo, huku Iyanya akiimba kwa ku-Freestyle kwa lugha ya kiswahili. 


google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers