HUYU NDIYE MTANZANIA NA MWANAMITINDO WA KWANZA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK KUWA VERIFIED NA KUWA OFFICIAL..!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, April 18, 2014

HUYU NDIYE MTANZANIA NA MWANAMITINDO WA KWANZA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK KUWA VERIFIED NA KUWA OFFICIAL..!!

Flaviana Matata ni jina linalofahamika zaidi hapa Tanzania na hata nje ya Tanzania, Flaviana ambaye alizaliwa June 9, 1987 (age 26), Shinyanga, Tanzania Amekuwa ndiye mtanzania wa kwanza kwa akaunti yake ye facebook kuwa Verified na kuwa official kwa kuwepo alama ya Tiki katika akaunti yake inavoonekana hapa chini

 Kampuni ya Tigo Tanzania  ilikuwa ndiyo ya kwanza kuwa Verified katika mtandao wa kijamii wa facebook, Twitter msanii wa kwanza kukubaliwa na kuwa verified ni Ay.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers