HUYU NDIYE MWANAUME ALIYERUHUSU "UUME" ULIWE NA FISI KWA MAKUSUDI SABABU IKIWA....!!! TAZAMA HAPA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, April 2, 2014

HUYU NDIYE MWANAUME ALIYERUHUSU "UUME" ULIWE NA FISI KWA MAKUSUDI SABABU IKIWA....!!! TAZAMA HAPA
Kuna stori nyingine kwenye hii dunia huwa zinaonekana kama za kufikirika tu na pengine unaweza kushawishika kuona sio za kweli ila ukweli ni kwamba imetokea kabisa kwenye maisha hayahaya.

Baada ya agizo la mganga, Mwanaume mmoja huko Malawi amemruhusu fisi ang’ate na kuuondoa uume wake kisa anataka kuwa tajiri na kuachana na maisha ya tabu aliyoishi kwa miaka mingi.

Chamangeni Zulu akiwa hospitali baada ya tukio hilo amesema >> “nilikutana na mganga ambae aliniambia njia kubwa na nzuri kabisa ya kuwa tajiri ni kutoa sadaka sehemu za mwili wangu ambapo tarehe 24 March 2014 saa kumi jioni nilikwenda Msituni na kuvua nguo zote kama nilivyoamrishwa, nikaona fisi akija na alianza kula vidole vyangu vya mguu na kisha kuanza kuula uume wangu”

Pamoja na hiyo sentensi fupi ya kusisimua inayoweza kukufanya uwaze mara mbilimbili baada ya kuifikiria kwa kina, Zulu anasema hasumbuliwi yani, haimpi shida kujua kwamba hana uume na vidole vyake tena ila tu anasubiri utajiri wake kama alivyoahidiwa.
credit:swahilitz

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers