MAISHA PLUS: VILIO VYATAWALA.

Washiriki wa Maisha plus 'Rekebisha' wakifuatilia mchujo.
Washiriki wa kiume wa Maisha Plus 'Rekebisha' wakisubiri kuitwa katika mchujo.
Washiriki wa Maisha Plus 'Rekebisha' wakiwa hawaamini baada ya kutolewa wenzao wawili kutolewa mashindanoni.
Washiriki wa Maisha Plus wakiimba wimbo kwa pamoja.
Mshiriki wa Maisha Plus 'Rekebisha' Said Mohamed 'Kiduku' akiimba wimbo pamoja na washiriki.
VILIO vilitawala katika Kijiji cha Maisha Plus, Jumapili iliyopita kutoka kwa washiriki baada ya wenzao wawili kuyaaga rasmi mashindano.
Mashindano hayo yanayojulikana kama Maisha Plus ‘Rekebisha’ yalianza mchujo wa kwanza kwa kumtoa mshiriki kutoka Uganda, Aminata Siiri na mmoja kutoka Tanzania, Jasmin Abdi.
Mchujo mwingine utaendelea Jumapili hii ndani ya Kijiji cha Maisha Plus ambapo kutashuhudiwa washiriki wengine wakiyaaga mashindano hayo.
(Stori/Video: Andrew Carlos) GPL
MAISHA PLUS: VILIO VYATAWALA. MAISHA PLUS: VILIO VYATAWALA. Reviewed by Linnah Lsquare on 6:02 AM Rating: 5
Powered by Blogger.