MAJANGAA...!!BONGO MUVI KUMALIZWA NA UKIMWI...BATA NA KUIBIANA MABWANA TATIZO KUBWA...!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, April 3, 2014

MAJANGAA...!!BONGO MUVI KUMALIZWA NA UKIMWI...BATA NA KUIBIANA MABWANA TATIZO KUBWA...!!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwi litawateketeza wasanii wote wa Bongo movie na hakuna atakaebaki kama hawatobadilika kitabia.
Akiongea na gazeti la pendwa na Watanzania Maskani Bongo alisem" Sio siri kwa
 mfano leo hii wasanii wote bongo movie waseme wakamatwe kinguvu wakapimwe HIV utaona hali ilivyokuwa mbaya na sijui hata mmoja atakuwa mzima na sababu kubwa ni njaa ambapo sisi wengi wetu tuna majina lakini hatuna kitu hivyo hiyo hutoa nafasi ya kujirahisha ili kupata pesa" Alisem

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers