NEWSS..MLIPUKO WA BOMU USIKU WA KUAMKIA LEO JIJINI ARUSHA...TAARIFA YA RC HII HAPA....! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, April 14, 2014

NEWSS..MLIPUKO WA BOMU USIKU WA KUAMKIA LEO JIJINI ARUSHA...TAARIFA YA RC HII HAPA....!

Usiku wa April 13 2014 kwenye baa iitwayo ‘Arusha night park’ iliyopo Mianzini Arusha ambayo siku zote ni miongoni mwa sehemu zinazokua na mkusanyiko wa watu wengi
 kuanzia jioni, limerushwa bomu wakati watu mbalimbali wakitazama mpira. 
millardayo.com imepata nafasi ya kuongea na mkuu wa mkoa wa Arusha ambae 
ni kiongozi wa Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa ambae amethibitisha kwamba ni watu 15 wamejeruhiwa kwenye mlipuko huo.

Anasema wote wamepelekwa hospitali ambapo uchunguzi wa awali umeonyesha 
bomu hilo ni la kutengenezwa kwa mkono na mpaka sasa hajajulikana alietekeleza 
shambulio hilo. 
Kwenye sentensi nyingine pia amesema hakuna aliepoteza maisha kwenye 
shambulio hilo ambalo uchunguzi wa awali umeshatoka, ila baadae itatoka t
aarifa rasmi pale uchunguzi
 kamili utakapokamilika.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers