"NIMEKUWA NIKISHINDWA KUJIZUIA KUWAPA URODA WANAUME KWANI NAKUWA NAVUTIWA NAO" LULU

Mcheza sinema za bongo Movie Elizabeth Michael 'LULU' amekiri kuteswa na jini mahaba ndiyo maana amekuwa akishinda kujizuia kulala bila kufanya ngono hali ambayo anatamani kuiacha lakini anashindwa.

Akizungumza na tovuti yetu ya TZA1961 Blog, Lulu alisema kwamba mara nyingi amekuwa akiota anafanya ngono na wanaume asiowafahamu na akiamka asubuhi huwa anajiskia mchovu na hali hiyo imechangia kuwa na mvutio zaidi kwa wanaume mbalimbali na wengi wao hujikuta ana 'do' nao.

 "Hakuna anayeweza kukubali kufanya ngono kama kuku, mara nyingi nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na wanaume nisio wajua na baada ya kuuliza nikaambiwa ni jini mahaba na hili limekuwa likinitesa na limepelekea niwe na mvuto wa kupendwa zaidi na wanaume ambao  baadhi yao huwa nashindwa kujizuia kuwapa uroda" alisema LULU
"NIMEKUWA NIKISHINDWA KUJIZUIA KUWAPA URODA WANAUME KWANI NAKUWA NAVUTIWA NAO" LULU "NIMEKUWA NIKISHINDWA KUJIZUIA KUWAPA URODA WANAUME KWANI NAKUWA NAVUTIWA NAO" LULU Reviewed by Linnah Lsquare on 12:26 AM Rating: 5
Powered by Blogger.