SIRI NZITO NYUMA YA PAZIA KUHUSU MAISHA MAZURI YA MUIGIZAJI RIYAMA ALLY HII HAPA....!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, April 12, 2014

SIRI NZITO NYUMA YA PAZIA KUHUSU MAISHA MAZURI YA MUIGIZAJI RIYAMA ALLY HII HAPA....!!

MWIGIZAJI mwenye taito ya kujiheshimu, Riyama Ally, amefunguka kuwa kinachomfanya aishi vizuri na watu ni kwa sababu haishi maisha ya kuigiza.


Superstar wa filamu za kibongo Riyama Ally
Akizungumza na mwandishi wetu juu ya maisha yake, Riyama alifafanua:
“Mimi siangalii sana maisha ya anasa, naangalia zaidi masuala ya msingi ya jinsi ya kuishi na watu katika jamii na  ndiyo maana unaona naishi maisha ya kawaida, siigizi hata kidogo, ukiigiza tu, unaumia.”

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers