SOMA HAPA JINSI TRAFFIC HUYU ALIVOWAFANYIA HAWA MADEREVA,KITENDO AMBACHO HAWATAKAA WAKISAHAU!!!

Si mnajifanya kuwa na haraka nyinyi nigongeni basi kama mnaujanja traffic akiwa amesimama mbele ya dala dala zilizo kuwa zina haraka na kuvunja sheria bila kufata utaratibu wa jinsi ya kula vichwa. Bongo hiyo dala dala zina kula vichwa bila utaratibu wa kituo na kituoa na kwa kuchomikeana, traffic akasema sasa ngoja niwachomeshe mahindi na haraka zetu za kuto kujari hata usalama wa abiria wenu. Ukodak kutoka kwa Mfoto huu!
credit:bongoclantz
SOMA HAPA JINSI TRAFFIC HUYU ALIVOWAFANYIA HAWA MADEREVA,KITENDO AMBACHO HAWATAKAA WAKISAHAU!!! SOMA HAPA JINSI TRAFFIC HUYU ALIVOWAFANYIA HAWA MADEREVA,KITENDO AMBACHO HAWATAKAA WAKISAHAU!!! Reviewed by Linnah Lsquare on 12:40 AM Rating: 5
Powered by Blogger.