TASWIRA ZA AJALI YA BASI LA LUHUYE LILILOUA ZAIDI YA WATU 10 JANA MKOANI MWANZA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, April 22, 2014

TASWIRA ZA AJALI YA BASI LA LUHUYE LILILOUA ZAIDI YA WATU 10 JANA MKOANI MWANZA

Basi la abiria la Luhuye Express lenye namba za usajili T 410 AWQ baada ya kuacha njia na kugonga nyumba katika Kijiji cha Yitwimila 'A', wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu jana asubuhi.
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyoua watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30.
Basi la abiria la Luhuye Express baada ya kupinduka.
Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo mbaya.
AJALI hii mbaya iliyopotea uhai wa watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30 ilitokea jana katika Kijiji cha Yitwimila 'A', Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu majira ya saa 4 asubuhi.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers