TAZAMA PICHA 11 KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE GURUMO DAR USIKU HUU. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Monday, April 14, 2014

TAZAMA PICHA 11 KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE GURUMO DAR USIKU HUU.

Maandalizi ya mazishi ya Mwanamuziki Mkongwe Muhidin Gurumo bado yanafanywa na familiamillardayo.com imefika nyumbani kwa marehemu na kuongea na mtoto wa kwanza wa marehemu Abdallah Muhidin Gurumo.

Abdallah amesema mpaka sasa kama familia wameamua mazishi yafanyike Jumanne ya

April 15 kijiji alichotoka marehemu Gurumo,Masaki wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani saa 4 asubuhi.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.Credit: millardayo.com

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers