TAZAMA VIDEO HII UONE JINSI WANAUME WALIVYO MGOMBANIA LULU HUKO MWANZA WAKITAKA KUCHEZA NAE MUZIKIElizabeth Michael a.k.a Lulu hivi majuz amejikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanaume kumgombania na kutaka kucheza nae mziki huko mwanza alipokuwa katika kampeni ya kutafuta vipaji ya kampuni flani ya usambazaji,


Lulu alikumbwa na mkasa huo baada ya kuwa wasanii wote waliokuja walikuwa wanatambulishwa  alianza msanii wa orijino komedi bwana joti na kufuatiwa na Richie na kisha kupanda Steve nyerere Alafu Lulu akamalizia kwa kufunga pazia ..Tazama video hapo chini uone jinsi wanaume walivyo mgombania lulu
credit:blog ya mwananchi
TAZAMA VIDEO HII UONE JINSI WANAUME WALIVYO MGOMBANIA LULU HUKO MWANZA WAKITAKA KUCHEZA NAE MUZIKI TAZAMA VIDEO HII UONE JINSI WANAUME WALIVYO MGOMBANIA LULU HUKO MWANZA WAKITAKA KUCHEZA NAE MUZIKI Reviewed by Linnah Lsquare on 6:17 AM Rating: 5
Powered by Blogger.