HILI NDIO GARI ALILOPATA NALO AJALI DIRECTOR GEORGE TYSON ALIYEKUWA MUME WA MSANII WA BONGO MOVIE MONALISA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, May 30, 2014

HILI NDIO GARI ALILOPATA NALO AJALI DIRECTOR GEORGE TYSON ALIYEKUWA MUME WA MSANII WA BONGO MOVIE MONALISA

Muonekano wa Gari alilopata nalo ajali Director George Tyson.
Kwenye hii safari, George Tyson (kulia) aliambatana na mtangazaji Mboni Masimba wa The Mboni show.
DJ Choka (kushoto), akiwa na marehemu George Tyson (kulia) wakiwa Dodoma enzi za uhai wake.
Marehemu George Tyson enzi za uhai wake.
Dj Choka ambae alikua kwenye safari moja ya Dodoma na Marehemu George Tyson, ameandika kwamba Marehemu alikuwa yupo kijiji cha Chilonwa Chamwino kwenye utoaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula iliyopo Dodoma.
Baada ya kumaliza shughuli hii huku akiwa kama producer wa The Mboni Show mauti yalimkuta majira ya saa 12 jioni ikiwa ni saa 4 tu toka tuanze safari ya kurudi Dar es Salaam maeneo fulani hivi kama unataka kukaribia GAIRO mjini.
Kwenye gari walikuwa watu 8 ila yeye pekee ndio aliyepoteza maisha ila wengine wamepata majeraha mwilini akiwemo dereva wa gari hilo ambapo kwa sasa mwili wa marehemu umehifadhiwa hapa Morogoro katika hospital ya mkoa Morogoro baadae asubuhi safari ya kurudi Dar es Salaam itaanza.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers