HUU NDIO UHUNI WA HALI YA JUU ALIOFANYIWA DIAMOND HUKO MAREKANI. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, May 30, 2014

HUU NDIO UHUNI WA HALI YA JUU ALIOFANYIWA DIAMOND HUKO MAREKANI.

Unaweza kudhani kuwa mambo haya yapo hapa tzee tu, kumbe ni kila sehemu, hata huko kwa States yapo, ile show aliyekuwa aifanye mkali wa Afro Pop kutoka Bongo Diamond platnumz, imeingia dosari, baada ya promota kushindwa kufikia ahadi zake katika swala zima la mkwanja, Show hii iliyokuwa ifanyike siku ya ijumaa ya kesho tarehe 30 May mjini Northampton, ndiyo ishakufa tena baada ya Dangote kuzinguliwa kibongo bongo.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers