HUU NDIO UTAPELI WA HALI YA JUU ULIOFANYWA NA MWANAUME WA VICKY KAMATA! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, May 28, 2014

HUU NDIO UTAPELI WA HALI YA JUU ULIOFANYWA NA MWANAUME WA VICKY KAMATA!

Haya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanukuu:

"Le Mutuz leo nilienda kumtembelea Mheshimiwa Mbunge Vicky Kamata, Nyumbani kwake Sinza Kijiweni she is fine and doing great baada ya kukutwa na mkasa mzito wa kukutana na Mwanaume Tapeli wa Kina-dada wenye uwezo hapa mjini Bwana Charles Mfanyakazi wa Tigo hapa mjini Dar. Ni Kijana aliyekwisha watapeli kina dada watatu hapa Mjini wenye uwezo wakiwemo Mabebez wakareeezzz hapa town kama Super Restituta na Penzila Kaisi na wao pia aliwatapeli mapesa yao na kuishia kuwaacha kwenye mataa, I feel for my Super Sister Vicky lakini cha muhimu ni kwamba Mungu amemuepusha na Tapeli wa Ajabu sana ambaye sasa hivi anahofiwa huenda akajiua baada ya kushitukiwa kwenye huu utapeli wake wa safari hii. Ninamuombea Mheshimiwa Vicky Mungu akuongoze usonge mbele ni ya kawaida na halafu kwenye maisha the bigger you become na matatizo pia lazima yawe makubwa kama ulivyo so worry not and move on!! - Le Mutuz"

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers