TAZAMA VIDEO CLIP YA HARUSI FEKI: LULU NA JOTI

Kupitia mtando wa INSTAGRAM, Elizabeth Michael aka Lulu ameshare nasi hii video ya harusi yake na muigizaji mwenzaje JOTI......Kisha kuandika maneno haya " Ushawahi kuona Harusi ina wadhamini wewe.....hahahahahha Nwei...Special Thanks To.... 1. GLAMBOX walisimamia Make-up ya Bibi harusi 2. @kionne_bridal_boutique for the beautiful dress n accessories 3. @weddingbellstanzania lol...walisimamia SUIT ya bwana harusi 4. ESCAPE 1-VENUE 5.CYN HENJEWELE - DECORATION Lastly na nyie mlioudhuria pale ITV Jumamosi...."
 

TAZAMA VIDEO CLIP YA HARUSI FEKI: LULU NA JOTI TAZAMA VIDEO CLIP YA HARUSI FEKI: LULU NA JOTI Reviewed by Linnah Lsquare on 2:16 PM Rating: 5
Powered by Blogger.