Unaambiwa Hawa Ndiyo Mastaa Wakike Wa Bongo Wenye Mvuto Wa Maana Na Ushawishi Wa Hali Ya Juu Hapa Bongo


Celebrities wa Tzee ambao wana muonekano mzuri na kuwa na Mashabiki wengi kutokana na majukumu yao wanayoyafanya kila siku, cheki hapa hapa list hiyo.

1. Wema Sepetu aka Beutifull Onyinye ni mwana Dada mwenye mvuto sana anajua kutupi vilivyo huwa akosei kweye mavazi na kimuonekano wake na kwa kujiweka Smart Women all the Time ndiyo inamfanya azidi kupata Mashabiki wengi sana na sometime huenda nje ya nchi kununua viwalo, na mwaka huu aliweza kupata Tuzo ya Ijuma Sex Garl na kibongo bongo ana fananishwa na staa wa pande za Obama Mwana Dada ,Mwana mitindo na Mrs kanye West Kim Kardashian.
2.Rita Pausen aka Madam Rita ni mwana Mama ambaye anapenda sana muonekano wake na hiko kitu kina mpelekea kuwa Mwana Mama wakiasa kwani Wana Wake wengi wakifika kwenye umri Wautuuzima wana kuwa hawa jali muonekano wao ila Madamu Rita ana penda kuonekano Waki sasa na kumpelekea Miakamiliyo oita kushina tunzo Selebrite mwenye muonekano Mzuri ambapo tuzo hizo zili anadakiwa na Baab Kubwa Magazine.3. Jack Wolper: ni msichana mwenye kupenda kujibadilisha muonekano wake wa Mavazi kila kukicha na kumfanya awe tofauti na kwenda na Fashion na kumuwezesha mwaka jana kushina Tuzo ya Ijumaa Sex Gal 2013 na kumuwezesha kuwa staa wenyw muoneka no tofauti na mastaa wengine bongo wana o fanay bongo Muvi Tze

4. Vanessa Mdee: ni Msanii wa Rnb ni miongoni wa Wasanii ambao wenye mvuto wa aina yake na kufanya awe tofauti kwani kimavazi jinsi anavyo vaa kwenye show hata kwenye shuhuli zake za kawaida Style anakuwa na muonekano mzuri Mwaka jana alibahatika kuingia kwenye Tuzo za Swahili Fashion .
credit:swahilitz
Unaambiwa Hawa Ndiyo Mastaa Wakike Wa Bongo Wenye Mvuto Wa Maana Na Ushawishi Wa Hali Ya Juu Hapa Bongo Unaambiwa Hawa Ndiyo Mastaa Wakike Wa Bongo Wenye Mvuto Wa Maana Na Ushawishi Wa Hali Ya Juu Hapa Bongo Reviewed by Linnah Lsquare on 2:21 AM Rating: 5
Powered by Blogger.