DIAMOND PLATNUMZ ANYAKUA TUZO NYINGINE! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, December 7, 2014

DIAMOND PLATNUMZ ANYAKUA TUZO NYINGINE!

Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine ambayo hizi zilikua zikitolewa Lagos nchini Nigeria ambazo hizi hazikuwa na utaratibu kama wa tuzo zingine kwa kupiga kura.
Baada ya kushinda tuzo hiyo ambayo ilienda kupokelewa na Meneja wake
Salaam,Diamond alipost maneno haya>>’Thanks God,we have cheated another one on the future Awards Africa in Lagos Nigeria…#samenight Thank you Allah’

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers