HII NDIYO HATMA YA DOCTOR ALIYEMLAZIMISHA MWANAMKE KUMEZA DAWA ZA KUTOA UJAUZITO. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, December 12, 2014

HII NDIYO HATMA YA DOCTOR ALIYEMLAZIMISHA MWANAMKE KUMEZA DAWA ZA KUTOA UJAUZITO.

Huenda alifanya kwa kumsaidia lakini msaada wake umemgeuka na kuwa hatia, Dk. Thomas A. Pfeiffer, amefikishwa Mahakamani kutokana na kufanya kosa la kumlazimisha mwanamke mmoja kunywa dawa za kutoa ujauzito.
Dokta huyo wa New York amekutwa na hatia, anatakiwa kujibu mashtaka matatu ambayo yametokana na kumlazimisha mwanamke mmoja kunywa dawa za kutoa ujauzito, amefikishwa Mahakamani kusomewa mashtaka kisha kurudishwa jela na dhamana yake ni dola 50,000. Daktari kaingia kwenye hatia hiyo baada ya upelelezi kubaini kwamba anahusika na kitendo hicho ambapo mwanamke aliyetumia dawa hizo alipata majeraha sehemu za kooni na mdomoni.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers