HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JANA KATIKA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA JIJINI MWANZA | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Sunday, December 14, 2014

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JANA KATIKA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA JIJINI MWANZA

Baadhi ya wananchi wa Kata ya Mbugani wakiwa wamemaliza kupiga kura na kusogea umbali wa kilometa 100 unaotakiwa wakisubiri matokeo ya uchaguzi huo hapa jijini Mwanza jana.
Mama aliyefahamika kwa jina la Gelda Nathaeli wa Kata ya Mbugani akiwa anapiga kura ya kumchagua kiongozi anayemtaka katika uchaguzi huo.
Polisi wakitoa maelekezo kwa wananchi waliomaliza kupiga kura katika mtaa wa Mirongo jijini Mwanza.
Wananchi wakiendelea kupiga kura katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Mwanza jana.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers