Hizi ndio picha za watanzania wanaofanana na Bruno Mars,Ngwea,Diamond,shetta walipojitokeza | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, December 18, 2014

Hizi ndio picha za watanzania wanaofanana na Bruno Mars,Ngwea,Diamond,shetta walipojitokeza

.
.
Mtangazaji wa XXL ya Clouds FM,Adam Mchomvu ndio aliendesha zoezi la kumtafuta mtanzania aliefanana na staa yeyote tunaemfahamu (StarLookAlike) lililofanyika Dec 16  XXL After school bash Dar es salaam.
Baada ya kuzitazama hizi picha, nani katisha zaidi hapo?
.
.
.
Huyu ni mtanzania aliyejitokeza na kudai amefanana na Diamond Platnumz.
.
Adam Mchomvu kwa Stage.
.
Huyu alijitokeza na kudai amefanana na Marehemu Ngwea .
.
Huyu alijitokeza na kudai amefanana na msanii Shetta lakini mashabiki hawakukubali.
.
Huyu alijitokeza na kudai amefanana na Jokate .
.
Hawa ndio washindi waliofanana na mastaa XXL After ASkul Bash 2014 kushoto(Ngwea,Diamond,Bruno Mars).
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza 

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers