LULU MICHAEL: "HUWA NASHINDWA KUJIZUIA KUWAPA URODA MIDUME....!" | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, December 13, 2014

LULU MICHAEL: "HUWA NASHINDWA KUJIZUIA KUWAPA URODA MIDUME....!"


Mcheza sinema za bongo Movie Elizabeth Michael ‘LULU’ amekiri kuteswa na jini mahaba ndiyo maana amekuwa akishinda kujizuia kulala bila kufanya ngono hali ambayo anatamani kuiacha lakini anashindwa.


Akizungumza na tovuti yetu, Lulu alisema kwamba mara nyingi amekuwa akiota anafanya ngono na wanaume asiowafahamu na akiamka asubuhi huwa anajiskia mchovu na hali hiyo imechangia kuwa na mvutio zaidi kwa wanaume mbalimbali na wengi wao hujikuta ana ‘do’ nao.
“Hakuna anayeweza kukubali kufanya ngono kama kuku, mara nyingi nimekuwa nikiota ninafanya mapenzi na wanaume nisio wajua na baada ya kuuliza nikaambiwa ni jini mahaba na hili limekuwa likinitesa na limepelekea niwe na mvuto wa kupendwa zaidi na wanaume ambao baadhi yao huwa nashindwa kujizuia kuwapa uroda”
alisema LULU.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers