NEWS ALERTS: MSHINDI WA BIG BROTHER, IDRIS KUTUA LEO SAA 12:30 JIONI | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, December 10, 2014

NEWS ALERTS: MSHINDI WA BIG BROTHER, IDRIS KUTUA LEO SAA 12:30 JIONI

MSHINDI wa zaidi ya milioni 500 za shindano la Big Brother Hotshots, Idris Sultan anatarajia kutua nchini leo saa 12:30 jioni akitokea Afrika Kusini alipokuwa anashiriki shindano hilo lililomalizika Jumapili iliyopita.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers