Diamond Amnunulia Pete na Cheni za Gharama Mpenzi Wake Mpya Zari the Lady Boss

Mapenzi Moto moto ya Mwanamuzi Diamond kwa Mpenzi wake mpya bado yanaendelea ku make headlines baada ya kumnunulia Pete na Cheni ya mkononi Zari the lady boss , Kama picha inavyoonyesha hapo zote ni za dhahabu pure ila gharama zake hatukuweza kujua kwa haraka ...

Zari Ameweka picha hiyo na kuandika maneno haya ..Woke up to some 24 carat eish. Thank you Boo, xoxo...#QueenTingz..
Diamond Amnunulia Pete na Cheni za Gharama Mpenzi Wake Mpya Zari the Lady Boss Diamond Amnunulia Pete na Cheni za Gharama Mpenzi Wake Mpya Zari the Lady Boss Reviewed by Linnah Lsquare on 9:24 PM Rating: 5
Powered by Blogger.