Faiza Ally: Hapa Bongo Hakuna Staa Mwenye Figa Kali Kama yangu

Mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Faiza Ally Amejigamba kwa kusema hapa Bongo hakuna staa yoyote Bongo mwenye figa kama yake ya kuweza kuvaa bikini na kujiachia kama yeye..Wengi wamejaa minyama nyama tu wakijiachia ni kichekesho ...Amesema ukitaka kujua wewe ni mrembo kiasi gani vaaa bikini na ujiachie......
Je Mdau kuna ukweli ?
Faiza Ally: Hapa Bongo Hakuna Staa Mwenye Figa Kali Kama yangu Faiza Ally: Hapa Bongo Hakuna Staa Mwenye Figa Kali Kama yangu Reviewed by Linnah Lsquare on 1:31 AM Rating: 5
Powered by Blogger.