HUYU NDIYE MREMBO ALIYEONGOZA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

Mwanafunzi aliyeongoza kwa kufanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka jana, Nyakaho Marungu akipongezwa na mama yake Celestina Maro, nyumbani kwao Kitunda Dar es Salaam jana, muda mfupi baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya mtihani huo.
HUYU NDIYE MREMBO ALIYEONGOZA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HUYU NDIYE MREMBO ALIYEONGOZA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE Reviewed by Linnah Lsquare on 12:34 AM Rating: 5
Powered by Blogger.