Muuza Mishikaki Maarufu Temeke Stand Apata Kichapo Baada ya Kukutwa Anauza Mishikaki ya Nyama ya Paka | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, February 18, 2015

Muuza Mishikaki Maarufu Temeke Stand Apata Kichapo Baada ya Kukutwa Anauza Mishikaki ya Nyama ya Paka

Muuuza mishikaki maarufu temeke stand ya mabasi anaitwa Said mishikaki amekamatwa jana na nyama ya paka jana akiwa anaitengeneza kwa ajili ya Kuchoma Mishikaki..Wananchi wenye hasira kali walimshushia kipigo cha haja kwa hasira za kulishwa nyama ya paka bila kujua.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers