Zari Ashutumiwa Kuiga Kila Anachofanya Wema Sepetu, Hata Hili la Pete ya Dhahabu Mashabiki wa Wema Wanasema Kaiga

Cheni na pete alizojinunuliwa Wema Sepetu siku za Nyuma
Baada ya Zari Kupost Picha Akionyesha Pete na Cheni ya Dhahabu aliyonunuliwa na Mpenzi wake Diamond Kama zawadi huko Instagram limezuka jambo mashabiki wa Wema wakisema Anamwiga mtu wao kila anachofanya ...Jisomee hapa huyu ni Shabiki mkubwa wa Wema Amendika hivi :

Mtaawapili
"Bibi zaituni acha tabia zako za copy na kupaste sio kila anachofanya wema na lazima ufanye utaumbuka bure.....nyie team nyoko nyoko ebu tafuteni kitu cha kufanya au mwambeni huyo bosslady awape kazi ya kufua ile sidiria kauka ni kuvae mfyuuuuu.hivi nyie mnajuwa kama wema anapenda gold sana na anazo nyingi mno.alipokuwa ck alipelekwa dubai kununuwa gold tu Google utaona .kama mtakumbuka vizuri wema na domo walikuwa china walinunua gold za gram 50 kila mtu��.watu wanasema eti cheni ya wema ni fake ni ule mkeka wa elfu 50 nyoooooooo kwenye upande wa madini wema ana fanya kweli cheni ya sio fake muulizeni vizuri wajinga tukitaka kujuwa wema wapi walinunuwa gold kasmani jewellery mitaa ya kitumbini tel 2557562.... nenda kaulize bei zake kama ujatoka bila kuagaaa tena ata yule mjela jela anayo @dainakavishe ebu wape bei za gold kiasi gani"

Baada ya Mtaawapili kutoa huo UBUYU haya ni Maoni ya Mashabiki walicomment kwenye shutuma hizi:

maskio_popo

Si ajabu kajinunulia mwenyewe hiyo mibat yake alafu et tanx boo,hao ndo wale wanaowapaga ela mwanaume akalipie mahari kwao


mtoto_mzuriii

Ataiga mpka akome apeleke mbele huko mitende yakeee


chamiy8

Hahaha yule bibi mpimbavuu leo tilimuanda morning jioni kanunua ha haha hataki kushindwa mamaeee sasa atajuta hamfikii wema wetuu kwa gold namuaminia wema pekeyakee

kimbwi22222

Saaana hakuna fake hapo hata me nnayo ....3.6 mil hizoo.....hakuna ubishi wema wetu hatariiiiiiiiiii......wengine wanaiga...mtapasuka msambaaaa eeh
Zari Ashutumiwa Kuiga Kila Anachofanya Wema Sepetu, Hata Hili la Pete ya Dhahabu Mashabiki wa Wema Wanasema Kaiga Zari Ashutumiwa Kuiga Kila Anachofanya Wema Sepetu, Hata Hili la Pete ya Dhahabu Mashabiki wa Wema Wanasema Kaiga Reviewed by Linnah Lsquare on 9:21 PM Rating: 5
Powered by Blogger.