Baada ya Kupotea kwa Muda: Wema Sepetu Arudi tena Kuigiza Akiwa na JB- VIDEO | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, May 15, 2015

Baada ya Kupotea kwa Muda: Wema Sepetu Arudi tena Kuigiza Akiwa na JB- VIDEO

Staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ameshare nasi video ya kazi mpya  inayokwenda kwa jina la  Chungu Cha Tatuakiwa na Staa mwnzake, Jacob Stephen  'JB'.


Kwa muda mrefu sasa Wema Sepetu amekuwa afanyi filamu, Bila shaka mashabiki wake wana hamu kubwa sana ya kumuona tena kwenye filamu.
Jionee kipande cha kazi hiyo  HAPA

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers