HATIMAYE WEMA SEPETU AAMUA KUGOMBEA 2015

Star wa Bongo Movie Wema sepetu amemamua kujitokeza adharani na kutangaza nia yake ya kutaka kugombea Ubunge viti maalum kupitia chama cha mapinduzi CCM mkoani Singida ambapo ndio nyumbani kwao...
Wema amesema kwasasa anahitaji Dua zenu pamoja na nguvu yenu kwan yeye mara nyingi amekuwa akiwapa nguvu watu wanaohitaji msaada kutoka kwake sasa ni zamu yake kuwaomba watanzania wamuunge mkono kufikia malengo yake.  
Wema Sepetu akiwa na Mama Sepetu
HATIMAYE WEMA SEPETU AAMUA KUGOMBEA 2015 HATIMAYE WEMA SEPETU AAMUA KUGOMBEA 2015 Reviewed by Linnah Lsquare on 3:22 AM Rating: 5
Powered by Blogger.