KAMA ULIPITWA BASI HAWA NDIO WAGOMBEA 5 WALIOCHAGULIWA NA CCM

Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni: 1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu asubuhi.
KAMA ULIPITWA BASI HAWA NDIO WAGOMBEA 5 WALIOCHAGULIWA NA CCM KAMA ULIPITWA BASI HAWA NDIO WAGOMBEA 5 WALIOCHAGULIWA NA CCM Reviewed by Linnah Lsquare on 11:38 PM Rating: 5
Powered by Blogger.