UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI:BABA WA KIM KARDASHIAN KUFANYIWA UPASUAJI WA SAUTI


Baba wa Kim Kardashian ambaye kwa sasa amebadili jinsi yake na kuwa mwanamke,  ‘Caitlyn Jenner’.
New York, Marekani
BABA wa Kim Kardashian ‘Caitlyn Jenner’ ambaye kwa sasa amebadili jinsi yake na kuwa mwanamke anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa sauti ili awe mwanamke aliyekamilika.
Akizungumza na mtandao unaodili na habari za mastaa, Caitlyn alisema kuwa alifanyiwa upasuaji wa kila kitu na kuwa mwanamke kwa muonekano lakini sauti yake bado ilikuwa haijabadilishwa ili kumpa sifa ya kuitwa mwanamke.
“Kila kitu nimefanikiwa isipokuwa sauti tu na hivi karibuni nitafanya operesheni, nashukuru watoto wangu lakini zaidi ni Kim Kardashian ambaye ananisapoti kwenye kila kitu,” alisema
UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI:BABA WA KIM KARDASHIAN KUFANYIWA UPASUAJI WA SAUTI UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI:BABA WA KIM KARDASHIAN KUFANYIWA UPASUAJI WA SAUTI Reviewed by Linnah Lsquare on 4:01 AM Rating: 5
Powered by Blogger.