BREAKING NEWS: ZEC YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBARMwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi  Zanzibar, uliofanyika Oktoba 25, 2015.
Jecha amesema kuwa, ZEC imefuta matokeo ya uchaguzi kutokana na kukiukwa kwa sheria na taratibu mbalimbali za uchaguzi wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo.
Uchaguzi huo utarudiwa baada ya siku 90.
TAARIFA ZAIDI HAPA CHINI
BREAKING NEWS: ZEC YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR BREAKING NEWS: ZEC YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR Reviewed by Linnah Lsquare on 5:31 AM Rating: 5
Powered by Blogger.