KIJANA ALIYESAMBAZA TAARIFA ZA UONGO KUWA MKUU WA JESHI LA ULINZI DAVIS MWAMUNYANGE AMELISHWA SUMU AFIKISHWA MAHAKAMANI

Mtuhumiwa wa makosa ya mtandao Benedict Angelo Ngonyani (24) (wa kwanza kulia) anayetuhumiwa kusambaza taarifa za uongo zinazomhusu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, akiwa katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu akisubiri kusomewa mashitaka.

Wengine ni watuhumiwa wa wizi kwa kutumia mitandao ya simu (fraud and use of telecommunication network) Ally Hamze (53) raia wa Afrika Kusini (wa pili kulia), Huang Kun Bing (26) Raia wa China (wa tatu kulia) Irfan Mirza Baig (46) (wa kwanza kushoto) Hefeez Irfan (32) (wa pili kushoto) na Mirza Rizwan Baig (41) (wa tatu kushoto) wote watatu raia wa Pakistani wakiwa katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu wakisubiri kusomewa mashitaka ya wizi kwa kutumia mitandao ya simu (fraud and use of telecommunication network).
KIJANA ALIYESAMBAZA TAARIFA ZA UONGO KUWA MKUU WA JESHI LA ULINZI DAVIS MWAMUNYANGE AMELISHWA SUMU AFIKISHWA MAHAKAMANI KIJANA ALIYESAMBAZA TAARIFA ZA UONGO KUWA MKUU WA JESHI LA ULINZI DAVIS MWAMUNYANGE AMELISHWA SUMU AFIKISHWA MAHAKAMANI Reviewed by Linnah Lsquare on 5:00 AM Rating: 5
Powered by Blogger.