MAGUFULI APOKELEWA NA MAELFU YA WATU JIJINI ARUSHA

Mgombea Urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi katika  mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Simanjiro na Mjumbe wa kamati ya ushindi ya kampeni za CCM,Ndugu Ole Sendeka akiwahutubia maelfu a wananchi wa jiji la Arusha na vitongoji vyake,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid,mkoani Arusha.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM Mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha mjini,Ndugu Phillemon Mollel mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha kwenye mkutano wa kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Monduli,Namelok Edward Moringe Sokoine kwenye mkutano wa kampeni ulofanyka mjini Monduli mapema leo mchana.
Ali Kiba akitumbuiza katika mkutano huo wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Wasanii wa muziki wa Kizazi Kipya wakitumbuiza katika Mkutano huo wa kampeni.
Kina mama Wakimaasai wakimshangilia Magufuli.
Bukos akiwa na kina mama yoyoo Longido Arusha.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akiingia kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
MAGUFULI APOKELEWA NA MAELFU YA WATU JIJINI ARUSHA MAGUFULI APOKELEWA NA MAELFU YA WATU JIJINI ARUSHA Reviewed by Linnah Lsquare on 1:25 AM Rating: 5
Powered by Blogger.