TANZIA:FILIKUNJOMBE AMEFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa filikunjombe amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa amepanda jana usiku kuanguka na kulipuka..
tutakuletea habari kamili hivi punde.
Alichokisema Jerry Slaa kupitia akaunti yake ya Instagram
"Baba yangu Capt.William Silaa akiwa na Mhe.Deo Filikunjombe na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya helicopter 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa. Taarifa za mwisho ilionekana imeanguka kwenye msitu wa Selous. Hakuna mawasiliano ya simu. Usiku kucha vyombo vyote vya serikali vimeendelea na jitihada za kufika eneo la tukio na jitihada kubwa zaidi zinaendelea asubuhi hii.
Nawaomba wote kuwa watulivu kwani jambo hili linahitaji umakini wa hali ya juu na ushirikiano wa taasisi nyingi za wizara tofauti.
Tuwaombee wote Mungu awanusuru.
JS"
TANZIA:FILIKUNJOMBE AMEFARIKI DUNIA TANZIA:FILIKUNJOMBE AMEFARIKI DUNIA Reviewed by Linnah Lsquare on 4:37 AM Rating: 5
Powered by Blogger.