UDP WAFUNGUKA UTATA WA KIFO CHA MWENYEKITI WAO MCHUNGAJI MTIKILA

Kauli hii imetolewa na uongozi wa chama cha UDP ,kuwa kifo cha mch mtikila kuna mazingira ya utata kufuatia nyenendo zake za hivi karibuni na mikutano Aliyoifanya mwenyekiti kwa kuwataja baadhi ya watu wakubwa katika uhusika wao na ufisadi nchini
Hivyo basi tunaomba serikali na vyombo vya dola vya nje na ndani kufanyia uchunguzi tukio hili
Source: Clouds tv
UDP WAFUNGUKA UTATA WA KIFO CHA MWENYEKITI WAO MCHUNGAJI MTIKILA UDP WAFUNGUKA UTATA WA KIFO CHA MWENYEKITI WAO MCHUNGAJI MTIKILA Reviewed by Linnah Lsquare on 1:08 AM Rating: 5
Powered by Blogger.