UKWELI HUU HAPA KUWA LOWASA AMEKUBALI KUSHINDWA UCHAGUZI MKUU.


Edward Lowassa
Kupitia Ukurasa wa Facebook unaitwa Chadema Pameandikwa Taarifa kuwa Edward Lowassa Amekubali kushindwa Urais na Ameamua Kupumzika Siasa...

Edward Lowassa Mwenyewe Ameibuka kupitia Ukurasa wake Halali wa Facebook na kukanusha juu ya habari hiyo na kusema ni za uzushi

Ameandika Haya:
"Taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kwamba nimekubali kushindwa katika Uchaguzi wa Rais ni za uwongo, Ninaomba zipuuzwe" Lowassa

Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may occupy our attention, but they do not define us. By Mitt Romney
UKWELI HUU HAPA KUWA LOWASA AMEKUBALI KUSHINDWA UCHAGUZI MKUU. UKWELI HUU HAPA KUWA LOWASA AMEKUBALI KUSHINDWA UCHAGUZI MKUU. Reviewed by Linnah Lsquare on 5:31 AM Rating: 5
Powered by Blogger.