Diamond: Wasanii Wengi wa Kimataifa Wametaka Kujiunga na WCB ila Nimewakatalia | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Tuesday, October 25, 2016

Diamond: Wasanii Wengi wa Kimataifa Wametaka Kujiunga na WCB ila Nimewakatalia


Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza 
Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wakue vizuri
Msikilize Hapa:

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers