ALICHOONGEA MH. ZITTO KABWE KWA KILICHOMTOKEA MH. NAPE NAUYE | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, March 23, 2017

ALICHOONGEA MH. ZITTO KABWE KWA KILICHOMTOKEA MH. NAPE NAUYE

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli march 23, 2017  kufanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kamteua Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo.
Sasa basi leo mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter ameyaandika haya>>>Nimezungumza na mbunge wa Mchinga Nape kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu’


google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers