Breaking News: Nape Aondolewa Kwenye Uwaziri wa Habari, Nafasi Yake Yachukuliwa na Dkt. Mwakyembe | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Thursday, March 23, 2017

Breaking News: Nape Aondolewa Kwenye Uwaziri wa Habari, Nafasi Yake Yachukuliwa na Dkt. Mwakyembe

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza lake la Mawaziri leo Machi 23, 2017. Katika mabadilikom hayo, Rais Magufuli amemuondoa kwenye Uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye ambaye nafasi yake imejazwa na Dkt. Harrison Mwakyembe.
Soma Taarifa ya Ikulu

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers