Gwajima: Nina Mazagazaga Kibao Kuhusu Daudi Bashite

Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na uzima ,Bwn Josephat Gwajima amesema kwamba, vita ndo kwanza imeanza. Ana nyaraka zote zinazoonesha uhalali wa Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwamba jina lake halisi ni Daudi Bashite na kwamba kama anabisha hakuina cheti, ajitokeze kuthibitisha swala hilo.
" Nilichorusha ni kijipande tu, matokeo yake mnayaona. Ajiyokeze akanushe swala hilo kwa evidence na mm ntatoka kumuonesha vyeti vyangu. Mkuu wa Mkoa amemchokoza mtumishi wa Mungu, matokeo yake ndo haya. Ajitoke kuomba msamaha"
Gwajima: Nina Mazagazaga Kibao Kuhusu Daudi Bashite Gwajima: Nina Mazagazaga Kibao Kuhusu Daudi Bashite Reviewed by Linnah Lsquare on 5:08 AM Rating: 5
Powered by Blogger.