HII KALI ASEEE:Hiki ndicho alochosema Zitto, NECTA Limesema hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Wednesday, March 29, 2017

HII KALI ASEEE:Hiki ndicho alochosema Zitto, NECTA Limesema hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda


Tumejulishwa kwenye Kamati kuwa NECTA hawana rekodi ya Albert Bashite wala Paul Makonda.

Yani wote hawapo kwenye kanzidata ya Baraza la Mitihani. Kwamba Tanzania haijawahi kuwa na wanafunzi wenye majina hayo

 
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI,USITUMIE LUGHA CHAFU TAFADHALI

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers