Majibu ya Polepole kuhusu mkutano wa Kinana na waandishi wa habari…. | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Friday, March 24, 2017

Majibu ya Polepole kuhusu mkutano wa Kinana na waandishi wa habari….

Kumekuwa na taarifa  zikiendelea kuchukua nafasi kwenye mitandao mbalimbali kuwa Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Comrade Kinana atazungumza na waandishi wa habari leo March 24, 2017, sasa basi kupitia ukurasa wa twitter wa katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole kuwa taarifa hizo si za kweli.
Aliyaandika haya>>>Napenda kukanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kwamba Katibu Mkuu wa CCM Komrade Kinana atakuwa na Mkutano na waandishi leo Asante’- Humphrey Polepole

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers