MANENO 16 YA MH. NAPE NAUYE BAADA YA UAMUZI ULIOFANYWA NA RAISI MAGUFULI

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amewaomba wananchi watulie kufuatia kuondolewa kwake kwenye nafasi hiyo ambayo imechukuliwa na aliyekuwa Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Harrison Mwakyembe.
“Ndugu zangu naomba TUTULIE! LEO mchana nitakutana na wanahabari na tutalizungumza hili. Nitawaambia saa na mahali, kwa sasa naomba TUTULIE!”, aliandika Nape
Aidha Nape ameendelea kusisitiza utulivu kwani anaamini taarifa za kuondolewa kwake katika nafasi hiyo zimewashtua watu wengi.
MANENO 16 YA MH. NAPE NAUYE BAADA YA UAMUZI ULIOFANYWA NA RAISI MAGUFULI MANENO 16 YA MH. NAPE NAUYE BAADA YA UAMUZI ULIOFANYWA NA RAISI MAGUFULI Reviewed by Linnah Lsquare on 1:06 AM Rating: 5
Powered by Blogger.