PICHA 22 na VIDEO: Kutoka kwenye usiku wa Malkia wa nguvu DSM…

March 24 Clouds FM wamewakutanisha wakazi wa Jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha waliloliandaa la Malkia wa Nguvu show ambayo walipanda mastaa mbalimbali kutoka Bongoflevani akiwemo, Joh Makini, Nikki wa Pili, Nandy, Shilole, Baraka De Prince, Msami, Bill Nas, Dayna Nyange, Chege na wengineo.

.Shilole

.Country Boy (kushoto) na Bill Nas wakitoa burudani ya nguvu

.Country Boy

.Bill Nas

.Nandy

.Madee

.Nikki wa Pili

.Joh Makini

.G Nako

.Msami akitoa burudani ya nguvu

.Belle 9 akitoa burudani ya nguvu kwenye usiku wa Malkia wa Nguvu

.

.

.

.

.

.Madee akiwa na team nzima kutoka Clouds Media Group

.Dj Zero (kushoto) akiwa na Julio

.

.Dayna Nyange akiwa na Chege kwenye usiku wa Malkia wa Nguvu

.

.

.Madee  akiwa na Dj Zero wa XXL ya Clouds FM
UNAWEZA UKABONYEZA PLAY KUTAZAMA  JINSI MASTAA WALIVYONOGESHA USIKU WA MALKIA WA NGUVU
PICHA 22 na VIDEO: Kutoka kwenye usiku wa Malkia wa nguvu DSM… PICHA 22 na VIDEO: Kutoka kwenye usiku wa Malkia wa nguvu DSM… Reviewed by Linnah Lsquare on 12:33 AM Rating: 5
Powered by Blogger.