PICHAZ: Mabasi ya Mwendokasi Yagongana Kwenye Makutano ya Barabara, Dar

HABARI: Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Morogoro jijini Dar es Salaam.

Katika ajali hiyo hakuna majeruhi wala mauti yaliyoripotiwa kutokea na inasemekana watu wote wametoka salama.

Aidha chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana bado hadi pale mamlaka husika itakapotoa taarifa kuhusu ajali hiyo.

Endelea kufuatilia taarifa zetu wakati wowote, tutakujuza kwa undani zaidi kuhusu taarifa hiyo!
PICHAZ: Mabasi ya Mwendokasi Yagongana Kwenye Makutano ya Barabara, Dar PICHAZ: Mabasi ya Mwendokasi Yagongana Kwenye Makutano ya Barabara, Dar Reviewed by Linnah Lsquare on 1:59 AM Rating: 5
Powered by Blogger.