Profesa Kitila Mkumbo: Kuna Nini Kati ya Magufuli na Makonda?..!!!! | Bongo Voice
Breaking News
Loading...

Saturday, March 25, 2017

Profesa Kitila Mkumbo: Kuna Nini Kati ya Magufuli na Makonda?..!!!!

Mwanasiasa kutoka chama cha ACT wazalendo anaonekana kushangazwa na Magufuli alivyomkingia kifua Makonda mkuu wa mkoa wa Dar na amehoji kuna nini hadi Magufuli asimuengue Makonda?
Amesema Magufuli amekuwa akitengua watu madarakani haraka hata kwa makosa ambayo yanakuwa hayahitaji mtu kuenguliwa lakini kwa hili la Makonda Magufuli amekuwa akimng'ang'ania kitu amabacho kina zua maswali mengi kwa wadau wengi

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT

 

Google+ Badge

Google+ Followers