YALIYOJIRI PROTEA:MH NAPE NAUYE AZUILIWA KUTOKA KWENYE GARI LAKINI ALIPAMBANA SOMA ALICHOKISEMA HAPA

13:08hrs: Nipo hapa Protea hotel, Mheshimiwa Nape bado hajafika. Ntamsubiri hapa hapa.

Ametokea mtu anayeitwa Iddi Suleiman ambae ni meneja wa Protea na kudai mkutano hautakuwepo na waandishi walipombana nani kazuia, alisema akaulizwe RPC wa Kinondoni.
Nape: Wapuuzi nmekuja hapa wananitoleabastola eti rudi kwenye gari
Nape: Nmepiganakuirudisha ccm madarakani anakuja mpuuzi eti usishukekwenye gari
Nape: Mimi nape sina kinyongo na uamzi wa rais wangi
Nape: Kama sikumshawishikunichagua hivyo hata kuniacha ni sawa
Nape: Nmejitahidikutimiza wajibu wangu
Nape: Tusihangaike na nape tuhangaike na tanzNia inapokwenda
Nmekuwa mzalendo na muungwana
Nimekuwa ninatimiza wajibu wangu
Mimi ndo nlisimama kuiinuaccm
Ntasemakweli daima na fitina kwangu mwiko
Kinachotukutanisha sio magwanda ya kijani, ni imani
Source:jf
YALIYOJIRI PROTEA:MH NAPE NAUYE AZUILIWA KUTOKA KWENYE GARI LAKINI ALIPAMBANA SOMA ALICHOKISEMA HAPA YALIYOJIRI PROTEA:MH NAPE NAUYE AZUILIWA KUTOKA KWENYE GARI LAKINI ALIPAMBANA SOMA ALICHOKISEMA HAPA Reviewed by Linnah Lsquare on 4:40 AM Rating: 5
Powered by Blogger.